Madada poa wanavyoongezeka Ubungo Riverside

Hii ni huduma kongwe duniani...hakuna cha siasa hapo.
Kwa Tanzania miaka ya karibuni imezidi ndugu yangu. Zamani walikua wanajipanga barabarani tu ila kwa sasa wameongeza playforms. Wapo mitandaoni, wamevamia kazi ya ubaamedi, mabaamedi wengi pale bar ni platform tu ya kujitangaza ila wanaishi kwa kufanya ukahaba. Wanawake wana njaa kali na wengi wanaona ukahaba ndio kimbilio lao maana atafanya nini? Kuwa kibaka hawezi, kubet hawezi wanalazimika kuingia kwenye ukahaba. kuna wanaofanya ukahaba directly mitandaoni, klabu za usiku na kuna wanaofanya ukahaba indirectly kupitia mahusiano ya kimapenzi maarufu kama kudanga.
 
Waboreshewe mazingira,wapewe mafunzo ya ngono salama,halafu serikali ikusanye kodi.
 
Kwani kuna siku wamekufata kwako kukulazimisha au wewe kinakuwasha nini mzee io ni biashara kama biashara nyingine acha watupe huduma wewe kama hutaki funga ndoa ukae kwa kutulia na uache kufuatilia yasiyo kuhusu
 
Kwaio wewe inakuumiza kitu gani ndugu kama kupigwa kuni wanapigwa wao au unawaonea wivu
 
Wenyewe wanavijua viwanja
 
Watu walivyo na akili mbovu leo wauzaji wategemee wateja wa kutosha, ushawapigia promo na utafiti wako [emoji23][emoji23][emoji23]
Hutaki watu wapate huduma[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tafadhari mnavyoweka Uzi wekeni na evidence moja kwa moja sio kutwbia madada poa alafu hatuoni wapoje
 
Hakuna usalama kwenye blow job kumbuka kuna homa ya ini
 
Duh wanafunzi wa chuo kikuu ?
 
Kuna siku watang'oka nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…