KMwanzo nilianza kuelewa ila mwisho panenichanganya nimesahau mwanzo tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah ila wameamua wenyewe ila hii kazi inachangamoto sanaMwaka Fulani Rafiki yangu mmoja aliamua kuacha kazi baada ya kutokuwa na maelewano na bosi wake kwa muda mrefu. Akahangaika wakamlipa kiinua mgogo chake, akaanzisha biashara ya kuuza Mbao pale buguruni na aliamua kukomaa kweli maana alikuwa anafanya kazi kuanzia kumi na mbili na nusu asubuhi hadi saa nne usiku. Mimi pia kwa kipindi hiko niliajiriwa na kampuni fulani pale Tazara, nilijiwekea malengo ya kumsapoti rafiki yangu walau kwa maongezi, sasa kuanzia saa kumi na moja jioni nilikuwa nae hadi saa nne usiku anapofunga kazi. Miongoni mwa tuliokuwa na mazoea nao pale Bunguruni ni dada mmoja mrembo kutoka Arusha ambae ukiambiwa anajiuza hotokaa uamini hata siku moja kwa jinsi Mungu alivyombariki uzuri wa sura na mwili, tukamchukulia kama Rafiki na bila ya matamanio, tulimshawishi sana aachane na kazi ile bila ya mafanikio. Siku moja akatusimulia jinsi shefa mmoja akiwa na Rafiki yake walivyombeba kwenye Prado hadi Mbezi Beach saa sita usiku. kufika huko wakiwa wawili na mwenzake walivyowekewa mitutu ya Bastola na kuamriwa kuosha maiti na kisha kuivalisha suti. Walikuja kutupwa Ubungo saa 11 Alfajiri na hawakulipwa hata senti. Sasa wiki hii inaendelea Rafiki yangu mmoja aliepo UK amenisimulia jinsi alivyopiga simu kwenye escort agency moja UK na kuomba dada poa mmoja walau aje ghetto kumpikia chai na kumpa kampani baada ya kuugua mafua makali sana kwa masharti ya kutokufanya ngono. Ananisimulia kuwa alipata treatment nzuri sana mpaka akamkumbuka Mama yake home Kinondoni jinsi alivyomlea kwa mapenzi makubwa akiwa mtoto. Najiuliza hapa Ndugu zetu hawa wakiwa kwenye kazi zao huwa wanakabiliana vipi na changamoto kama hizi kumridhisha mteja?
Ukienda viwanja vya maana achana na hivi viwanja uchwara unakutana na Hawa binadamu walai mungu alitulia Sana kipindi anawaumba, Sasa unajiuliza why wanajiuza maana Ni wazuri balaaa na matumizi yao Ni ya gharama ile mbayaUnajua hii biashara ni ya mda sasa na asikwambie mtu ipo dunia nzima ingawa kuna baadhi ya nchi ni ruhusa na inchi zingine sio ruhusa ingawa inafanywa. Utashangaa kuna watu hapa JF wanaisifu sana Pattaya lakini kule hawajaruhusu hio biashara ingawa ipo kwa kiasi kikubwa. Unaweza kudhani katika familia yako hakuna anaejihusisha lakini huwezi kujua. Dada yako ama binamu yako yupo shule ya bweni ama yupo chuo, huwezi kujua linapoingia giza anaenda wapi na anafanya nini. Kuna mfanyakazi mmoja wa benki posta amefiwa na wazazi wake na amechukua juhudi za kumsomesha mdogo wake wa kike pale chuo flani town, jamaa ameweka pembeni wazo la kuoa kwa sasa ana concentrate kumsomesha mdogo wake tu. Karibu hapa watu wakamtonya dogo wake pale chuo anamiliki ndinga hata yeye jamaa na kazi alonayo hajawahi miliki. Kumuweka mtu kati dogo kakiri usiku anaenda kiwanje flani kudanga kapata shefa imemnunulia gari. Jamaa alikaribia kujiua…. Huwezi kujua tabia za mtu, sana sana ni kumuomba Mungu tu wakuu.
Sana wanatia huruma, ila wameamua wenyeweNawaoneaga huruma baadhi ya wadada wanaojiuza barabarani.. lhera
Ukienda viwanja vya maana achana na hivi viwanja uchwara unakutana na Hawa binadamu walai mungu alitulia Sana kipindi anawaumba, Sasa unajiuliza why wanajiuza maana Ni wazuri balaaa na matumizi yao Ni ya gharama ile mbaya
Sitaki niwe muongo mm nimewachezea sana. . Nikimkuta mrembo mkali tunakubaliana kupima damu kwanza na magonjwa ya zinaa then naanza kuula utamu.. haiwezekani huo utamu unipite aisee