Madada msidhan wanaume hatuna majukumu

Mwanamke mpiga mizinga mkalie mbali!!.
Let me think about you, then nitakununulia zawadi nitayoona inakufaa and hopefully you will do the same for me.
I hate broke women.

This is it!
Namdharau sana mwanamke ambaye kila wakati anaombaomba. Acha niamue mwenyewe kukupa kitu, ila tabia
ya ombaomba sitaki.

Kwa wanawake ukitaka mwanaume akupe daraja la chini wewe kutwa ombaomba kama Matonya, utajidharaulisha
wewe na familia yako!
 
halafu wanataka mdada mcute, hawajui kuwa kizuri cha garamikiwa
Hahahahahaaha Wanapenda ready made hao. Sasa kazi kwao na kila type ya msichana ina gharama yake tena mwenye navyo atakudai vingi bora hata huyo anaedai ada ya shule na matumizi madogox2 . Maana mwanafunzi hana madai makubwa huwezi kudaiwa mil 10 za kutolea contena bandarini sanax2 ni vijihela kidogo tu. Sasa hapo kidogo analaumu je akionyeshwa ramani ya nyumba halafu anaombwa pesa kidogo ie 20mil za kuanzishia msingi wa nyumba.
 
Acha kugeneralize! Wapo wadada wanaojitambua na pesa kwao siyo issue. Kwanza pesa yakupewa ni utumwa tu huna uhuru nayo!

Ndo walivyo hao! Pesa mbele kama tai. Ndio maana ndoa nyingi hazidumu siku hizi kwasababu ya mambo ya kizushi kama hayo. Kaza buti songa mbele kijana!
 
Thanx kwa kunielewa kaka
 
Nafikiri umepatia. Wanaume wa kweli wako kazini making pepa. Wengine wapo mapumziko, the rest ( majority) ndo muda wote JF full kulalamika :/
 
nyie wanawake wa jf mnataka kupewa pesa uzuri mnao!? wanawake wazuri huwezi kuwakuta jf...wapo busy wanatolewa out na vidume vyenye pesa mnaowatamani nyie. so stay kwa level yenu ya kina mzabzab wa jf mtulie...kama u havent been blessed with luks basi kubali yaishe..sio kusemawanaume kizuri chatunzwa...tunajua ila je wee mzuri mpaka mwanaume akuhonge mapesa yote hayo
 
Nafikiri umepatia. Wanaume wa kweli wako kazini making pepa. Wengine wapo mapumziko, the rest ( majority) ndo muda wote JF full kulalamika :/

very true indeed..na wanawake wazuri wapo out na hao wanaume busy enjoying the lavish lifestyle that money provides....so in essence wat u saying is that jf women arent pretty and jf men arent loaded hence why they all congrigate hapa jf
 
I haven't seen any ladies complaining. I could be sitting on the beach, sitting on a pina colada waiting for my man to come join me and the kid for dinner. Or I could be in a grass hut somewhere waiting for a cheap troll to come take my hand in marriage for free. This iz ze intanet so yu neva noooo🙂
 
Wanawake wa namna hiyo wana tofauti gani na malaya wanaojiuza mabarabarani? All in all, dawa ni kuwagonga tu na kuwaacha solemba. Yani uonge kodi ya nyumba ya miezi 6 au mwaka kwa lipi hasa? K? No K is worth that much/
 
Kama wanawake wanakuzingua achana nao, usiumize kichwa.....!!!!!!
 
seen many ladies complain hapa so its both ways.
 
Wanawake wa namna hiyo wana tofauti gani na malaya wanaojiuza mabarabarani? All in all, dawa ni kuwagonga tu na kuwaacha solemba. Yani uonge kodi ya nyumba ya miezi 6 au mwaka kwa lipi hasa? K? No K is worth that much/

wee kweli mwanaume....na unajua value ya money....wape ukweli bwana.
 
Mi naona hali ya maisha imekuwa ngumu sana ndio maana baadhi ya wadada wamegeuza mapenzi kama mtaji. So tusiwalaumu wao bali tulaumu hii serikali ya CCM kwa kushindwa kutuwekea misingi mizuri ya uzalishaji na kukuza ajira kwa wananchi wake.
 
mkuu asante kwa kuwapa ukweli. pamoja na kumfanyia yote akipata mwenye uwezo zaidi anakuacha. niko na hasira nao sana. sitak tena demu wa africa nashariki niko na hasira nao sana. bora nioe rangi nyingine.wazushi awa maslah mbele
Punguza hasira,by the way Pole sana:shock:
 
Mi naona hali ya maisha imekuwa ngumu sana ndio maana baadhi ya wadada wamegeuza mapenzi kama mtaji. So tusiwalaumu wao bali tulaumu hii serikali ya CCM kwa kushindwa kutuwekea misingi mizuri ya uzalishaji na kukuza ajira kwa wananchi wake.
Mi naona hali ya maisha imekuwa ngumu sana ndio maana baadhi ya wakaka wanaona kumuhudumia mpenzi wake ni kama ananunua biashara,tusiwalaumu wao bali tuilaumu hii serikali ya CCM kwa kushindwa kuwawekea misingi mizuri ya uzalishaji na kukuza ajira kwa wananchi wake,hapo awali wanaume walihudumia na kuhonga sana tu wala hawakulalamika tena enzi hizo ndio wadada wengi hawakuwa wakijishughulisha,ajabu sasa ambapo wanaume wamepunguziwa mzigo wanawake wanajitafutia ridhiki zao full kulalamika!Kwani sasa kuna mtu ANACHUNWA?kuchunwa ilikua zamani bwana acheni kukwepa majukumu!
 
Wanawake wa namna hiyo wana tofauti gani na malaya wanaojiuza mabarabarani? All in all, dawa ni kuwagonga tu na kuwaacha solemba. Yani uonge kodi ya nyumba ya miezi 6 au mwaka kwa lipi hasa? K? No K is worth that much/
Mchango wako umeitendea haki avatar yako.
 
Pole sana...ila hiyo ndo habari ya mjini
 
Wasichana wa Tanzania wanapenda kuhongwa hata awe na Kazi bado atakuomba tu! Nilibahatika kuishi nje ya nchi nikafanya utafiti wangu!! Wasichana wengi wa kutoka Africa bado wa Tanzania wanaongoza kutokujitegemea! Wa bongo na warundi hatari Sana ukitaka urudi kwenu bila kitu date nao!! Kama nasema uongo chunguza hata wasichana wetu wengi wanapenda kuolewa na vibabu sababu ndio hio hio wanapenda Sana mteremko awe kasoma awe hajasoma Lao moja!! Kweli ni muhim umsaidie mpenzi wako ila sio vema kumchuna!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…