Maelezo yako hayanisaidii wala hayajibu swali langu la kuwaacha watu wafe then kuja ku appologize, muderers
Mimi nina swali dogo sana, hivi hawa Madaktari ni kwa nini watu wanawachukia sana? Hivi wameshajiuliza (Madaktari) hilo swali? Kwa nini katika taaluma zote mnachukiwa ninyi tu? Mbona walimu pia wanagoma lakini hawachukiwi kama ninyi ni mambo ya ajabu sana, yaani chuki Wananchi waliyonayo kwenu nafikiri haina tofauti na chuki waliyonayo dhidi ya Polisi mmeshakaa na kujiuliza kwa nini lakini?
Wiki iliyopita washkaji zangu wawili walipata mkataba wa miaka 3 namibya kwa mshahara mnono,jana jamaa wangu wa karibu pia ameitwa botswana kwa mkataba wa miaka 5 na mshahara wa kutakata.hakuna haja kulumbana na mwajiri asiyeweza kunilipa,hata mimi ngoja nisake pa kwenda.
[h=2] Re: Madactari tuhamie kusini , .,,,,,yaani hata fani yako kuiandika huwezi.?du we nenda tu huko[/h]