Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda atakuwa ndani ya kipindi cha mada moto kuzungumzia mambo mbali mbali ya mkoa wa DSM live saa nne usiku CHANNEL TEN.
Leo kwenye kipindi cha mada moto live saa nne usiku mkuu wa mkoa wa dar es salaam paul makonda atakuwa na albert kilalah kujadili mambo mbalimbali ya mkoa wa dsm...live saa nne usiku channel ten.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.