Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,146
- 48,384
Leo nimeona Clip ya Cyprian Musiba akilalamika kuhusu kura za maoni ndani ya CCM.
Kura hizo za maoni CCM zimefuta kabisa yale majigambo ya chama hicho kuwa kina uadilifu kwenye kusimamia changuzi ndani ya chama hicho.
Angalau kwenye kila Jimbo kuna malalamiko dhidi uwepo wa rushwa udanganyifu na kila aina ya uhalfu.
Kwa kuwa siyo rahisi kila mtu kuwa na taarifa ya kila tukio la kura hizo za maoni, ni vizuri tukasaidiana kuweka hapa video, maandishi au taarifa yoyote ya maana kuuthibitishia umma kuwa rushwa na aina nyingine ya uhalifu ni kitu cha kawaida ndani ya CCM.
Huyu hapa chini ni Musiba akilalamikia rushwa ndani ya CCM.