Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,089
- 4,733
Ana miaka 24 mpaka sasaKwanini ulioa mtu aliyeishia form two maana uelewa wake mdogo au ndo ile dhana huwa mna assume humu Jf kuoa asiye na shule ila akutii sasa madhara yake ndo haya, hapo nakupa pole umejifunga kitanzi kitakachokutesa the rest of ur life, yani anampa mtoto uji hajafikisha six month's the big problem ninayo ioana hapo mumepishana uelewa na vipaumbele mmoja mtu mzima mwingine hafikirii mbele hapo assume siku haupo duniani watoto wataishije, mumepeleke elimu ya watu wazima bila hivo atakuua Kwa pressure ikiwezekana usizae karibuni tena
Duuh pole Sana, huyo sio mke Ni shidaa Kama uloandika Ni kweli
Bora umeachana na ilo jjini aise hata mm ikitokea naliachilia mbali mkuuSoma hayo niliyoorodhesha hapo juu kama wewe ungeweza kuvumilia
Kuhusu watoto najua atawalisha sumu ili wanione Baba yao mbaya au sifai maana kuna siku aliwahi kuniambia NIKIMUACHA NISITEGEMEE KWAMBA NINA WATOTO, nikamuuliza wakija kukuuliza "BABA YUPO WAPI?"akanijibu nitawaambia "AMEKUFA"
Kifupi naweza sema hapa nilikosea kuoa
Hahaaa
Heheee mngekubaliana kuneutralize muweke like 1 day per week, as outing tamu Sana beans na Ina imarisha mahusiano
Mama Terry chonde chonde njoo kule unasubiriwaHahaaa
Heheee mngekubaliana kuneutralize muweke like 1 day per week, as outing tamu Sana beans na Ina imarisha mahusiano
Pole Sana.Mkuu mwenyewe sio kama nimependa, hapana ila nimelazimika kuachana nae
Na hapo mdo nimemvumilia tangu akiwa mjamzito, awali nilisema pengine ujauzito ngoja nisubiri ajifungue
Baada ya kujifungua ndo ikawa balaa
Pole sana, tatizo angekwambia usioe lakini wewe ukawa unampenda, mie kuna ndugu yangu nilimwambia huyo utamweza kweli? Jibu lake mbona wewe umeolewa na hakuna aliyekupangia? Nikafunga domo langu, sahizi cha moto anakipata kuniambia anashindwa mie yangu machoHuyu kalelewa na shangazi yake, baada ya kumshirikisha Dada yangu ( baada ya kumpa taarifa ajenda ya kikao ) akaniambia huyo hata shangazi yake aliyemlea na kumsomesha alikua akigombana nae, nikamuuliza kwa nini hukuniambia mapema kabla sijaoa, ye akanijibu kuwa aliona katulia na alishampa kitchen party kama mke mtarajiwa wa kaka yake
Duu mlichumbiana wadogo sanaAna miaka 24 mpaka sasa
Nimpeleke elimu ya watu wazima wakati nishaachana nae...!
Yupo kwao, sa hv naangalia watoto tu,
Na wala sina mpango wa kuongeza mtoto kwa sasa
Sasa huyu niliyeachana nae ukijifanya bwege kuna siku atakwambia usiende kazini ili umsaidie kuleaIli Ndoa idumu lazima mmoja ajifanye Bwege.
Mi nilikuwa nna miaka 29Duu mlichumbiana wadogo sana
Duh ulimuoa akiwa bado mdogoAna miaka 24 mpaka sasa
Nimpeleke elimu ya watu wazima wakati nishaachana nae...!
Yupo kwao, sa hv naangalia watoto tu,
Na wala sina mpango wa kuongeza mtoto kwa sasa
LizarazuKwanini ulioa mtu aliyeishia form two maana uelewa wake mdogo au ndo ile dhana huwa mna assume humu Jf kuoa asiye na shule ila akutii sasa madhara yake ndo haya, hapo nakupa pole umejifunga kitanzi kitakachokutesa the rest of ur life, yani anampa mtoto uji hajafikisha six month's the big problem ninayo ioana hapo mumepishana uelewa na vipaumbele mmoja mtu mzima mwingine hafikirii mbele hapo assume siku haupo duniani watoto wataishije, mumepeleke elimu ya watu wazima bila hivo atakuua Kwa pressure ikiwezekana usizae karibuni tena
Miaka 19 hadi 23 bado mdogo...!?!?Duh ulimuoa akiwa bado mdogo
Miaka 19 naona Ni mdogo.Miaka 19 hadi 23 bado mdogo...!?!?
Miaka minne, ndoa nimefunga nae mwaka jana mwezi wa kumi na mojaMiaka 19 naona Ni mdogo.
Uchumba ulikaa nae kwa Muda gani?
Duh..Miaka minne, ndoa nimefunga nae mwaka jana mwezi wa kumi na moja
Na kipindi hicho chote cha uchumba alikua akiishi kwao, kwangu kaja mwaka jana tarehe mbili mwezi wa tano na akafikia kwa wifi yake ( Dada yangu ) sikutaka afikie kwangu kwa sababu za kiimani na marafiki nilionao na wanaonifahamu ni watu wenye heshima zao hivyo kuishi nae kama mke bila ndoa nisingeeleweka
Ndoa nyingi Lina hili tatizo ,wanawake mjirekebishe2. Tendo la ndoa mpaka atake yeye au ajisikie
Kinachofanya hizo ndoa zidumu ndio upendo wenyewe.Ndoa nyingi zinadumu kwa sababu ya uvumilivu wa wanandoa hao na sio upendo
Sent using Jamii Forums mobile app