jchofachogenda JF-Expert Member Joined Jan 8, 2012 Posts 537 Reaction score 123 Jun 21, 2012 #1 Kutoka kushoto ni waziri wa ujenzi John Magufuli,Mama yake Magufuli na Rais Jakaya Kikwete.Unahisi waliongelea nini hapa? Attachments 097.JPG 45.7 KB · Views: 256
Kutoka kushoto ni waziri wa ujenzi John Magufuli,Mama yake Magufuli na Rais Jakaya Kikwete.Unahisi waliongelea nini hapa?
SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member Joined Feb 14, 2012 Posts 987 Reaction score 220 Jun 21, 2012 #2 Nashukuru sana mwanagu umempa ulaji na mimi mmenipa magamba, tafadhali usimtose. WABEJA SANA!
TajiriMutoto Member Joined Jun 20, 2012 Posts 86 Reaction score 38 Jun 21, 2012 #3 Eti wanasema we dhaifu ni kweli? gangamala kuwa kama mwanangu John
tz1 JF-Expert Member Joined Mar 19, 2011 Posts 2,121 Reaction score 537 Jun 21, 2012 #4 TajiriMutoto said: Eti wanasema we dhaifu ni kweli? gangamala kuwa kama mwanangu John Click to expand... TajiriMutoto ni dhaifu sana ka mabinti na sasa imemwambukiza kwenye siasa na kutoa maamuzi. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
TajiriMutoto said: Eti wanasema we dhaifu ni kweli? gangamala kuwa kama mwanangu John Click to expand... TajiriMutoto ni dhaifu sana ka mabinti na sasa imemwambukiza kwenye siasa na kutoa maamuzi.
kijembeee JF-Expert Member Joined Jun 6, 2012 Posts 409 Reaction score 105 Jun 21, 2012 #5 chondchonde dhaifu usimfundishe mtto wangu tabia mbaya
stineriga JF-Expert Member Joined Jun 20, 2012 Posts 2,172 Reaction score 892 Jun 21, 2012 #6 mwanangu john anafaa kuwa mrithi wako, naomba sana baba upimgie debe akurithi,