MTENDAHAKI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,013
- 1,448
Sasa hapo mkuu utalaumu macho au MOYO?
Sasa hapo mkuu utalaumu macho au MOYO?
Hii taa hii, ndo inatufanya tuwake tamaa!Macho ni taa ya mwili, hayo mengine sijaelewa yanatoka wapi.
Macho hayo, bila macho utamtafutaje mtu mtandaoniSio macho mkuu
na wanaotafutana mitandaoni?
Tatizo sio macho bali ni tamaa zako ulizonazo ndizo zinakuponza unatakiwa ulidhike na yule uliyenae
macho yakishaona moyo unafanyaje?Macho mkuu,ndio chanzo, tusipoona hatuwezi kuwaka tamaa
Nawewe unamaneno ya kwenye kanga eeh?lolkazi ya moyo ni kusukuma damu kupenda ni kihelehele chako.
Tatizo sio macho bali ni tamaa zako ulizonazo ndizo zinakuponza unatakiwa ulidhike na yule uliyenae
Duh, hapa nchi nzima inazini daily, with only few exceptions!!!!!Mathews 5:27-28
5:27 "You have heard that it was said, 'Do not commit adultery.
5:28 But I tell you that anyone who looks at a woman lustfully has already committed adultery with her in his heart.