wadau kama kichwa cha habari nilivokianisha hapo juu yaan nasumbuliwa na macho..nikiangalia kwenye kioo naona kama vile mtoto wa jicho upande wa uweupe pia kunakuwa kama vile mchanga na uhisi kwenye macho vile vile tongo tongo baada ya mda fulan pia jicho moja la kulia siona mbali tafadhal anaejua dawa anisaidie wakuu