Sawa mkuuMkuu sio tatizo kubwa sana kwa upande wa watoto wachanga hii inasababishwa na uzibe wa mirija ya machozi
Ila kuna wengine huwa inachukua mpaka miezi 6 kufumuka
Kama lugha gongana nisamehe inaitwa blocked tear ducts
Huenda inaweza kuwa sababu zingine ila mimi naijua hii