Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,392
- 7,873
Ongeza nyama tafadhaliMacho ya kiroho ni yale macho ambayo huona wakati umefumba macho. Kwa kawaida binadamu anapofumba macho maana yake anatumia mwili wa kiroho kuona. Macho haya ndo yanayotumika kwenye ndoto.
Mtu akiwa na majini na majini hao wakawa wapo kimaamlisho ataongea nao akiwa amefumba macho.
Ikitokea umeonana na jini bila kufumba macho ni kwamba yeye ameamua umuone lakini akija ndani ya nyumba yako jini yeyote au mchawi yeyote ukifumba macho tu unamuona lakini ukifumbua macho humuoni.
Hilo ndio jicho la tatu, lakini ukitumia vipandikizi ukawa unaona bila kufumba macho ni hatari na inawezekana ukawa kipofu kwasababu jicho hilo linahitaji uwezo wa kiza.
Pia jicho hili linakuonyesha mipangilio yako ya maisha pamoja na changamoto, kulingana na level ya jicho lako la tatu unaweza kuona yaliyojificha lakini pia unaweza kuona mambo yatakayotokea baadae au kesho.
Mfano :- unaweza ukawa unatembea kumbe mbele kuna hatari itakayokutokea inaweza ikawa ajali au vibaka wanakusubiri au balaa lolote lile kama uwezo huu unao utalazimika kubadilisha njia au kusitisha kabisa safari yako.
Watu wenye uwezo huu kwa lugha ya kifaransa wanajulikana kama Clairvoyant kwa kingereza third eye kiswahili jicho la tatu.
Wale wanaosema hakuna ajuaye kesho ni waongo. Ufalme wa Mungu upo ndani yako.
Itaendelea....Ongeza nyama tafadhali
Kwahio ulifumba Macho?Nakubaliana na wewe kiongozi
Mara nyingi nimekua nikiona mambo mengi sana kupitia njia hii ya jicho la tatu
Kuna kipindi niliwahi kumuona mtesi wangu akija pale kitandani ghafla nikampiga kofi, kilichofuata alinipiga makofi mfululizo hadi nikashtuka kutoka usingizini
Acheni Mungu aitwe Mungu
Night mkuu endapo utalala chali na siyo kifudifudiKwahio ulifumba Macho?
Sasa ni mda gani sahaihi, Maana usiniambie tuu hapa nifumbe macho nitaona mchawi wangu.
Kuanzia saangap?Night mkuu endapo utalala chali na siyo kifudifudi
Saa 8 mkuuKuanzia saangap?
Duu pole akapata mbata za kutosha mpaka usingizi ukaisha, ungeomba huko huko usingiziniNakubaliana na wewe kiongozi
Mara nyingi nimekua nikiona mambo mengi sana kupitia njia hii ya jicho la tatu
Kuna kipindi niliwahi kumuona mtesi wangu akija pale kitandani ghafla nikampiga kofi, kilichofuata alinipiga makofi mfululizo hadi nikashtuka kutoka usingizini
Acheni Mungu aitwe Mungu
Ndiyo mida ya maombi hiyoSaa 8 mkuu
Yaani wakati anaingia sikumuona ila nilianza kumuona aliposogelea kitanda na alikua mwanamkeDuu pole akapata mbata za kutosha mpaka usingizi ukaisha, ungeomba huko huko usingizini
Fanya hivyo ikibidi kesha ukiombaNdiyo mida ya maombi hiyo
Ukijua umuhimu wake unaomba tuFanya hivyo ikibidi kesha ukiomba
Vipi asubuhi yake hamjaonana?Yaani wakati anaingia sikumuona ila nilianza kumuona aliposogelea kitanda na alikua mwanamke
Basi kwa hasira nikampa kofi la uso, akamaind akaanza kunishambulia nikajikuta nastuka huku napiga kelele
Asikwambie mtu mkuu jicho la 3 lipogo
Tupe ufafanuzi kwann ukilala chali na sio kifudifudiNight mkuu endapo utalala chali na siyo kifudifudi
Mkuu kawaida ya hawa watu hata kama umemuona live wee kaushaVipi asubuhi yake hamjaonana?
Paji la usoo mkuu ndiyo kila kitu ila ukimpa mgongo unaruhu akutawaleTupe ufafanuzi kwann ukilala chali na sio kifudifudi