Umeanza kwenda nje ya mada. Kazi yako, utaanzishiwa thread...
:focus:
Sometimes wanaume pia hawana aibu, tuseme tu ukweli.
Unakuta mwanaume anatongoza kwa kutumia maneno ambayo hata kwa kuyasoma peke yako chumbani utaona aibu!
Alafu the way anataka akushike shike... unamsalimia kwa mkono anakukuna hivi in the palm, au anataka akuvute, akukiss huku humjui hakujui, ndo kwanza mmekutana! shame...
Mimi nitawalaumu wanaume.Ukiwa mwanamke wa heshima, una staha na aibu, mumeo au bf wako hakawii kukupa shock kwa kuparamia migumegume na mikurumbembe! Wanaume wenyewe wamekosa adabu sana siku hizi, wanashobokea sana malaya. Nyumbani hatoi matumizi, kutwa kwenda kuhonga malaya! Maokeo yake wasichana wadogo wanaochipukia wanafikiria ukiwa na tabia za kimalayamalaya ndio unavutia wanaume.Sasa sijui mnalalamika nini wakati nyie ndio mnaonyesha mnayotaka - nataka sitaki mnachanganya wanawake! Jirekebisheni nyie wenyewe kwanza.
Umeanza na "watu walikuwa na...staha, heshima..." halafu ghafla ikageuka kuwa "hivyo...dada zetu...wasingeweza kuyazungumza...."
Imetokaje kwenye ''watu'' kutakiwa kuwa na heshima kwenda kwenye ''hivyo dada zetu''? Kwanini ume target na kushambulia ''dada zetu''? Mwanamme yeye hatakiwi kuwa na heshima na staha?
Huu ni mfumo dume wa kizamani, eti mwanamme yeye awe huru kuongea machafu chafu bila heshima wala staha na kutembea kifua wazi barabarani akitaka, halafu mwanammke ndio awe na "aibu... staha... heshima... afunike sketi haraka kama ikipeperushwa..." ili awe "sexy." How preposterous! Male chauvinism of the most ridiculous kind.
You must be kiddin me..what an excuse..
Kama umemuelewa MKJJ na bado ukawa na maoni hayo basi una kazi.
We kama ni mwanaume utakua unpenda machangudoa ua maguberi!Kama ni mwanamke basi wewe ni gumegume!
Hebu tueleweshe kwa nini umefikia conclusion hiyo?
Hudhani kuwa na wanaume nao wanatakiwa kuwa na heshima na staha kama wanawake?
lucky c pesa
i missed you a lot....
Mada imeanzishwa kujadili "wasichana/wanawake " na kukosa aibu. Atakuwa ana sababu zake kuanzisha mada.
Kama mnataka kuzungumzia wanaume na kukosa aibu kwanini msianzishe yenu?
Money has been scarce my dear..nasaka noti
Mzima lkn?
nitafute i could have the solution lol
nimeipenda hii..na angesema hivi ningemtafuta maana kuna uhakika wa solution lol..sio you could have .....you have :lol:
nimeipenda hii..na angesema hivi ningemtafuta maana kuna uhakika wa solution lol..
but "could" or 'might' itanipotezea muda
sio you could have .....you have :lol:
We si mchumba wangu tayari babu? lolYou are such a good mwali, Mwali.
Will you marry me?
Mi sipendi mwanamke mwenye aibu, nampenda mwanamke mwenye haya... Kuna tofauti kubwa sana kati ya kuona aibu na kuona haya.....We si mchumba wangu tayari babu? lol
Yes, I would marry you π
Tusichakachue thread ya watu, toa mchango wako kwanza...
Hapo nadhani hakuna atakaeona kosa. Sio mtu ndio kwanza mmekutana eti unamuuliza ana shilingi ngapi :shock:Nafanya kitu ambacho ni appropriate kwa muda huo ..
iwe mavazi, maongezi, etc.. as long i'm happy ..
i like your post aisee maanake dadazetu wamekosa aibu kabisa hadi nashangaa ndo utandawazi inafikia point unakuta mwanamke anatukana matusi mpka unaogopa kabisa kma kweli ni binadamu wa kawaida mfano kuna matusi ya viungo vya miili yao wanapenda sana kuitumia hata mbele ya audience does not care huwa nashangaa. dada zetu rudisheni ili aibu yenu i like it aiseee