tz1 JF-Expert Member Joined Mar 19, 2011 Posts 2,121 Reaction score 537 Jun 9, 2011 #1 Hili linanikera sana,wanakusimamai dirishani,ukiwapotezea kama hujawaona wananza miluzi. Ukiwa unaongea na simu bado wapo tu wanachungulia ndani.Na pia ni hatari kwe maisha yao.
Hili linanikera sana,wanakusimamai dirishani,ukiwapotezea kama hujawaona wananza miluzi. Ukiwa unaongea na simu bado wapo tu wanachungulia ndani.Na pia ni hatari kwe maisha yao.