Serikali ingejenga schemes za umwagiliaji za kufa mtu,weka macombine harvester etc watu walime mipunga nkKilimo serikali inategemea mvua ni kosa kilimo cha pesa ni umwagiliaji, then masoko huko bado kuna future ya kueleweka lakini tofauti na hapo tutakua taifa la wachuuzi tu ambao hatuna dira kiuchumi
Serikali ingejenga schemes za umwagiliaji za kufa mtu,weka macombine harvester etc watu walime mipunga nk
Serikali haishindwi ni wao kufanya maamuzi tu
Ya kuleta mabadiliko
Dunia sahv sehemu nyingi chakula kinahirajika
Tanzania ardhi,rutuba ipo
Ova
Sana ,mm naona kama tawala zetu hazitaki kuwainua watu zinataka wanyonge,walalahoiNgoja uone baada ya corona mwakanikutakua na njaa kali mno, yaani hata mfanyabiashara wa mazao mwakani ni kupiga pesa tu. Sasa njaa ingekuta kuna miradi ya kilimo ya kueleweka mambo yangekua mazuri sana
Acha wadanganyika wadanganywe Kwa manufaa ya wachache, siku wakiibuka usingizini kumesha kucha.
Watajielewa pale ubongo utakapo kuwa unachungulia nje kama WA kenge wasumbufu na wasiokuwa wasikivu Kila wafukuzwapo wanapoenda kuiba mayai ya raia, wakitokea vichaka vya jirani.Kama waliaminishwa kuwa kiparata cha 20,000 ambacho hakina picha wala jina wanaweza kuchukulia mkopo Bank na wakshangilia
Hao ndio unategemea watakuja kuamka kwa akili hizo
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hata wewe umezaliwa baada ya mama yako kuhongwa chupi ya mtumba, wewe ni uzao wa machinga. Dada yako nae kaxalia nyumbani kisa machinga kampa sidiria za bure.
Watajielewa pale ubongo utakapo kuwa unachungulia nje kama WA kenge wasumbufu na wasiokuwa wasikivu Kila wafukuzwapo wanapoenda kuiba mayai ya raia, wakitokea vichaka vya jirani.
Huko hamna RC?Arusha wamachinga wanaondolewa lini?
Ndio utaratibu WA dunia, wote tukiwa na hela Nani atahudumia Bar?.Sana ,mm naona kama tawala zetu hazitaki kuwainua watu zinataka wanyonge,walalahoi
Wawepo tu
Ova
Làkini hao hao walimu walitumika kibadilisha matokeo ya uchaguzi mkuu 2020 kwa kupewa 20,000/?Sasa hivi washajifunza....walinyooshwa wale[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]miaka 6 bila kupandishwa madaraja kiukweli huwezi amini ktk watu mioyoni walimlaani magu ni waalim
Hao ndio wadanganyika was daraja la kwanza acha waonje joto ya jiwe.Làkini hao hao walimu walitumika kibadilisha matokeo ya uchaguzi mkuu 2020 kwa kupewa 20,000/?