Napatikana hapa Nyegezi Stand Mwanza, nimefungua office yangu mpya ya MYHAMALA PESA, inajihusisha na Tigo, Voda na Airtel...
NATAKA KUPATA kuapata MASHINE YA MAX MALIPO ili kuboresha na kukidhi mahitaji ya wateja wangu...
Naomba msaada wa namna ya upatikanaji wake ndugu zangu..
Sent using
Jamii Forums mobile app