M Mstaarabu wa ukwee JF-Expert Member Joined Aug 9, 2013 Posts 212 Reaction score 140 Aug 18, 2016 #1 Wadau naomba mwenye ufahamu kuhusu machine ya kutengenezea mikate especially gharama na upatikanaji wake
Wadau naomba mwenye ufahamu kuhusu machine ya kutengenezea mikate especially gharama na upatikanaji wake
M Mwakyeja JF-Expert Member Joined May 1, 2015 Posts 675 Reaction score 456 Aug 18, 2016 #2 Ya ujazo gani unataka na unataka mpya au used
M Mstaarabu wa ukwee JF-Expert Member Joined Aug 9, 2013 Posts 212 Reaction score 140 Aug 18, 2016 Thread starter #3 petercornelmwakyeja said: Ya ujazo gani unataka na unataka mpya au used Click to expand... Hata sijui ukubwa wake na nikijua bei ndio nitajua nahitaji ipi?
petercornelmwakyeja said: Ya ujazo gani unataka na unataka mpya au used Click to expand... Hata sijui ukubwa wake na nikijua bei ndio nitajua nahitaji ipi?
M Mwakyeja JF-Expert Member Joined May 1, 2015 Posts 675 Reaction score 456 Aug 18, 2016 #4 Basi poa 0715 088880
kijana13 JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 1,980 Reaction score 3,635 Aug 18, 2016 #5 Mkuu kwenye mikate kuna mashine kama nne, unataka zote au. Kuna mixer (kuchanganyia) , improver(kuumulia) , slicer (kukatia sless) na oven machine (kuoka). Unataka ipi?
Mkuu kwenye mikate kuna mashine kama nne, unataka zote au. Kuna mixer (kuchanganyia) , improver(kuumulia) , slicer (kukatia sless) na oven machine (kuoka). Unataka ipi?
M Mstaarabu wa ukwee JF-Expert Member Joined Aug 9, 2013 Posts 212 Reaction score 140 Aug 18, 2016 Thread starter #6 Asa petercornelmwakyeja said: Basi poa 0715 088880 Click to expand... THANKS NAKUCHEKI SI MUDA
geofreyngaga JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 667 Reaction score 974 Aug 18, 2016 #7 Mstaarabu wa ukwee said: Wadau naomba mwenye ufahamu kuhusu machine ya kutengenezea mikate especially gharama na upatikanaji wake Click to expand... kuna uzi nimesahau jina nimeelezea sana hii kitu humu ndani. kwa maelezo zaidi piga 0652 494919 karib
Mstaarabu wa ukwee said: Wadau naomba mwenye ufahamu kuhusu machine ya kutengenezea mikate especially gharama na upatikanaji wake Click to expand... kuna uzi nimesahau jina nimeelezea sana hii kitu humu ndani. kwa maelezo zaidi piga 0652 494919 karib