Machine ya juice ya miwa inauzwa

Machine ya juice ya miwa inauzwa

Sarleh Arch

Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
30
Reaction score
13
Asalam aleykum, ndugu wadau pande zote bongo na nje ya inchi, nimatumani yangu kuwa ni wazima pia poleni na majukumu, ebwana kwa yeyote anaehitaji machine ya miwa mimi ninayo naiuza, machine conditions zake ni perfect but ina two years since inununuliwe haikuwahi kutumika, in short nimekaa nayo muda mrefu bila kutumika but ni mpya haijawahi guswa ila iliwahi kujaribiwa kama inapiga kazi.
Machine hii ni ya umeme, ni kubwa haiondoki chini bila watu wa 3, mpk wa4.
Binafsi nilinunua machine hii kwa kiasi cha shilling million 1.3.
Kwa maelezo zaidi na kama upo interested ni cheki WhatsApp 0738242566.
Now naiuza kwa 1milion wazee.
#Dar es salaam
#Tanzania
 
Tupia kapicha mkuu, tunaweza kufanya biashara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom