Regression Algorithms - Hii inatumika ku predict output kutokana na input husika mfano ukiangalia AlphaGo ya Google inauzezo wa kutabiri next move ya player kuingana na data zilizopo kwenye database yake watu huwa wana fana nisha hii na ML , mimi hapa najua ReA kwenye neural network regression based in Python
Instance-based Algorithms - Hii inatumika ku training data, kw lugha nyepesi ni yaleyale mabo ya neural network
Regularization Algorithms - hii ina tumiwa na watu wa data scientists, ewanatumia data ku minimize risk
Decision Tree Algorithms - inatumika kwenye decision analysis
Mkuu kama ubebobe hivi kwenye haya mambo naomba uni PM cv yako, kuna kazi huawei wanatafuta ma engineer