Machifu 200 wa mikoa tisa ya Kanda ya Kusini, wanatarajiwa kufanya matembezi maalumu mkoani Mbeya, kwa lengo la kuliombea taifa, ili uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, ufanyike kwa amani na utulivu.
Mratibu wa Umoja wa Machifu wa mikoa ya Kusini, Chifu Sad Wabu (Mitondo wa Pili) ameyasema hayo wakati wa mkutano na wandishi wa habari, kuhusu maandalizi ya matembezi hayo pamoja na shughuli zingine zitakazofanywa na viongozi hao
Waambie waache maigizo, kama walishindwa kuliombea taifa na kuliokoa na makucha ya mjerumani, wataweza mbele ya manyambisi, manyemelaa ya ccm aisee!...