Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 578
- 2,614
samahani hiyo ''autism'' ni nini kama hutajaliNa watu wengi wanashindwa kutofautisha kati ya down syndrome na autism
Kwa kiswahili wanaita "usonji" mtoto anakuwa kama vile anautindio wa ubongo ila sio utindio wa ubungo. Sijui hapo umenielewa? mm sio mtaalamu sana ila natumaini watakuja wataalamu kuelezea vizurisamahani hiyo ''autism'' ni nini kama hutajali
nashukuru sana....... nimekaa karibu kulifahamu vyema hilo tatizo.Kwa kiswahili wanaita "usonji" mm sio mtaalamu sana ila natumaini watakuja wataalamu kuelezea vizuri
Boss upo sahihi. Ni usonji mkuu wangu!Kwa kiswahili wanaita "usonji" mtoto anakuwa kama vile anautindio wa ubongo ila sio utindio wa ubungo. Sijui hapo umenielewa? mm sio mtaalamu sana ila natumaini watakuja wataalamu kuelezea vizuri
Kweli mkuuNa watu wengi wanashindwa kutofautisha kati ya down syndrome na autism