Machangudoa wengi wanakaa wapi?

Status
Not open for further replies.
mkuu ujuzi wako ktk hili suala lanipa shaka kidogo maana unanena kama unafahamu live na sio kuhadithiwa tuu, anyways keep up the good work. dar ibadilishwe jina tuiite sodom & gomorah
 

Mkuu hao wa slipway hata mwafrika wanawinda!one day nilikuwepo pale slipway,huwez amin walivokuwa macho juu juu na kujipitisha!yaan huwez dhania ni machangu,ukim-meet kwa mtaa au mchana hutakosa kufikiria ni mtoto wa geti kali!
 
Nilijua unawahitaji labda maana mpaka kuwaulizia imeonyesha una shida nao tehe tehe.
 

Nimekukubali, nashangaa jinsi ulivyofahamu haya
 
o 22:00 12th February 2013 By C programming : kiukweli machangu wanatofautiana wapo wanaoishi gesti na wapo ambao wanakaaa kwenye mageto yao....kwa utafiti na kazi yangu ......ya uchunguzi machangu wengi dar wanaishi hivi....

MKUU NINASHINDWA KUELEWA UCHUNGUZI WAKO UMEUFANYA KWA VITENDO AU KWA NADHARI?
 
du kwa kweli masai club kinondoni vicheche vimezidi najichagulia tu raha mustarehe!
 

Nenda CCM utawakuta machangu wengi sana,, utashindwa wewe.
 
wapo kila sehemu guest mpaka majumbani

Hata pale lumumba makao makuu ya CCM wapo wengi tu.. Na ndio wanao wachanganya akili wanaccm hadi yanakuwa mazuzu!
 
Ukitaka kujua mpenzi wako mpya au uliye nae ni changu au vipi.Mnunulie simu hizi za kisasa.Itakusaidia kujua mahali anapokuwa.Kama akiwa anaishi kinondon,mara unaona kitu kinasoma yuko obey sa 7 usiku.Simu itakusaidia kutafakal na kuchukua hatua.
 
haya mletaaa mada naona uahapata majibu sasa kazi kwako nenda ka eat and run.....kazi ni kwako
 
Ahsante nishajua aina ya changu nimtakaye na wapi nitampata,nawapenda sana viumbe hawa no complications no risky ya kuvunja ndoa ,unaburudika kwa wakati ,pahali na style yako na kwa uwezo wako !raha!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…