Machafuko yanayotokea yanasababishwa na nani?

Machafuko yanayotokea yanasababishwa na nani?

Lujiga

Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
16
Reaction score
0
Kila siku najiuliza eti nchi îtaingia kwenye machafuko hayo machafuko ayawezi kusababishwa na raia kwa raia narudia haitatokea bali kwa askari polisi kwa kutumiwa na serikali ndio watakao leta hayo machafuko ambayo pinda ànayazungumzia kualalisha vichapo
 
Back
Top Bottom