Jumax
Senior Member
- Mar 4, 2017
- 117
- 229
Habari za Muda wana JF,
Hali ya sintofahamu imetaharuki baina ya raia katika wilaya ya Msimbwa (Mocimboa da praia) mkoani Cabo delgado Nchini Msumbiji kutokana na Mashambulizi yanayoendelea baina ya Vyombo vya ulinzi dhidi ya Kundi la watu wasemekanao wana itikadi za kiislamu yaani Al shabaab kuvamia vituo vya polisi na kuua askari wapatao sita mpaka sasa ikiwa chanzo au sababu ya kutokea kwa matukio hayo bado haijajulikana mpaka sasa.
Halikadhalika shughuli mbali mbali za raia zimesimama kutokana na taharuki hizo hakuna wa kutoka wala kutembea barabarani.
Kutokea kwa matukio hayo pia kume ambatana na tukio lililotokea siku moja kabla yaani tarehe 04.10.2107 ( sikukuu ya amani nchini Msumbiji ) ambapo aliuwawa Rais wa Manispaa ya Nampula na kundi la watu wasiojuliakana ndugu. Mahamudo Amurane.