Mpendwa City Owl... Kumbe wewe wafuata mkumbo na matukio!! au wafuata IMANI na elimu iliypo akilini... Mkuu wewe ndiyo judge (hakimu ) wa maamuzi yako... READ !!!
Please be kind to learn/know..
Mpendwa CN, ndugu Sivyo hivo No !! you are wrong... hapo mahala patakatifu ni Jengo la kwanza kuwepo ULIMWENGUNI (earth) Lilijengwa na malaika waliyotumwa na muumba wa kauni zote...
Sasa lilipo athirika ndiyo Nabii mtume Ibrahim AS akaja na mwanae kukarabati !!!
Moreover kuhusu Jiwe mnalozungumzia ni portion ndogo ya jiwe jeusi limepachikwa pembezoni!! (hiyo nayo ni miujiza mingine ukipenda kujuwa zaidi)
(hapo shetwani hayopo na hasogei hapo, FYI, Shetwani yupo kule alipokwenda Nabii mtume Ibrahim kutimiza amri ya ndoto zake 35km away)
welcome for more useful info: