Macbook pro 2015 inaonesha file na question mark

Macbook pro 2015 inaonesha file na question mark

mzeemkavu

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2017
Posts
552
Reaction score
474
Nimeingia YouTube nikacheki tutorials nyingi nakufikia ku download hiyo software. tatizo inaitaji apple ID na mimi apple ID sina hii ndo apple device yangu ya kwanza.

Nimejaribu kufungua apple ID kupitia simu yangu ya android imekubali ila nikiiweka inadai .. this apple ID has not yet been used with the app store.

Nahitaji msaada wenu wadau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo mengine ni kazi za watu. Hata huko youtube unakutana na tutorial nyingi siyo kama hawana cha kufanya ila yote ni kutafuta pesa. Wanalipwa Youtube ndiyo maana unaona kuna tutorials nyingi.
Subiri wanakuja kukupa msaada
Ungetoa darasa hapa ungetusaidia wengi kwani hata Mie nasumbuliwa na tatizo linalofanana na hili, na hadi Leo sijaweza kutumia Wasap, wala mtandao wowote wa kijamii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom