aisee pole sana, kama aliiba na boksi maana yake ni mzoefu pia kwenye kuiba vitu kama hivyo, na kama mzoefu maana yake anajua pia namna ya kuipoteza karibu na alipo iba, kama anajua hilo, basi pia kunauwezekano pia isiwepo hata wilaya ama mkoa uliopo wewe, anza na platform zote za ndani ambazo zinzdeal na uuzaji wa vitu used, rudi mtaani kwako na mtaa wa jirani kujua machimbo ya vitu vya wizi... mara nyingi huwa wana mtu wao ambaye ni kama wanakusanya vitu kwake... mwisho hukuwa na haja ya kuweka serial number za hiyo mashine humu