Macadamia Nuts

Jane Msowoya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2017
Posts
4,833
Reaction score
9,050
Hongereni na mapambano GT's
Nahitaji Macadamia nuts kwa wingi sana
Nimeambiwa yanalimwa sana Tanga na mkuranga kidogo
Nahitaji mkulima sio dalali

Whatsapp 0688301635

 

Attachments

  • IMG_20250708_134905.jpg
    357.5 KB · Views: 7
Haina shida kalime sijui kanunue... Kuna wengine walikuja na ufugaji wa nyoka kuvuna sumu na kuuza watu wakafuga nyoka nyingi mnooo ..... Hizo biashara zenu za mainflencer ni za ajabu sana ...
Aysee
 
Kwa sasa uwezo wangu minimum at per ni 500kgs
Ila kama prices ikiwa nzuri ni biashara ambayo itatupeleka for years
Kwa ambaye mwenye kilo 20 - 50 utanunua? Na 1kg kwa shilingi ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…