donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Sikupingi mkuuNimesikiliza kwa makini EP yote na wanangu hapa tumeipa 10/10.
Anajua kuandika
Sauti ya dunia yote
Melody za sayari ya Mars
Muonekano wa super dupa star
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Sijaelewa kiukweli mkuu, maybe streaming platformsUzi si kwa ajili ya kumcompere ntu na ntu,
ila unapotaja NLM huachi kuifikilia KMW.
Kiukweli tukitoa mambo ya uteam, ibrah wa konde gang alianza vzuri kuliko mwanzo wa huyu dogo. Japo mpaka sasa sijui konde gang wananufaika vp na Ibrah labda kutoka katika platform za music
Hzo music platform si ndo unapata pesa kutokama na streaming or utata uko wapi.( tunaelimishana)Sijaelewa kiukweli mkuu, maybe streaming platforms
Sijakupinga, nimemaanisha kwamba wasanii wanatumia hizo platforms kujipatia rizki kuliko live showsHzo music platform si ndo unapata pesa kutokama na streaming or utata uko wapi.( tunaelimishana)
Huyu dogo anajua sana...alikosa management tu...alianza kua chini ya chege
Ngoma yake na chege inaitwa mama J...chege hakua na hela tu
[emoji16][emoji16] sio mkuu...mama j jina tu la wimboMama J huyu huyu wa Yanga?
Nlitaka kuuliza pia kumbe ushajibiwaMama J huyu huyu wa Yanga?
Sana aisee, hazipiti nyimbo 5 bila pombe na mambo yanayohusisha viungo vya uzazi. Pengine ndio sisi wenyewe (audience) tunapenda kusikiaPombe inasifiwa Siku hizi
Sijajua naona wamefanana