Mac software installation. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mac software installation.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kwameh, Aug 5, 2012.

 1. K

  Kwameh JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 485
  Trophy Points: 80
  Wakubwa, mimi ni mgeni katika matumizi ya apple computers.

  Tatizo langu ni, je, eti ni kweli kwamba ku install software kwenye computer ya mac ni lazima iwe installed wakati inakuwa downloaded? Kama ni kweli ina maana computer hiyo hiyo unayo download ndio lazima hiyo software iwe installed humo, vipi kama unatumia computer ya Windows (ambayo ndio ina internet access) ku download na kisha ndio ui transfer labda na SD card (ikiwa kama installation set up file) kwenda ku install kwenye mac computer?

  Na kama ni kweli kwamba unapotaka ku install software (lets say kutoka online app store) ni lazima itokee kwenye downloading moja kwa moja ina maana kila wakati ukitaka kuhamisha kwenye computer ingine itakuwa inakula kwako in terms of internet bandwith? Mbona hasara? Software husika ni final cut pro.
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Software unazoinstall kutoka App Store ndio hivyo, software unazozipata nje ya App Store unaweza kuzidownlaod sehemu nyingine na kuinstall kama kawaida. Version Mpya ya Final Cut inapatikana app store peke yake nadhani so itabidi uinstall kutoka app store na udownload upya kila unapotaka kuinstall (Legally). Unless utafute version ya zamani ambayo nadhani ilikuwa inapatikana kwenye DVD.
   
 3. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,277
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  final cut pro inapatkana app store na ni lazima uilipie, otherwise utapata features chache sana. Vingnevyo nunua tu instalation cd yake labda ndo utaweza instal kwa multiple comptures.
   
Loading...