Joel kaigarula
Member
- Jun 3, 2014
- 28
- 16
Turudi nyuma mbona wafanyakazi wa Microsoft wanatumia Apple products !
apple anatumia windows kutengeneza mac. kwa lugha nyengine mainjinia wa apple wakiwa wanacode mac wanatumia windows, kwa lugha nyengine windows isinge exist mainjinia wa apple wasingeweza kuitengeneza mac.
unaposema wafanyakazi wa windows wanatumia product za aple unamaanisha hizi ipad za kuchezea temple run au unamaanisha na wao wanatumia computer za apple kucode windows? if yes na ushahidi pls
Nimesema hivi baada ya Ipads kuibiwa california office za Microsoft
Wafanyakazi wa Microsoft wanatumia Apple products yes Ipads
Mwaka jana wezi walipoingia office za Microsoft ikaripotiwa kwamba Ipads tu ndizo zilizo ibiwa !
Waliiba Ipads Tano zenye thamani ya $3,000
na wakaacha tablet na smartphones products za microsoft bila kuzigusa !
Microsoft Silicon Valley offices raided with only iPads stolen | Technology | The Guardian
Kwenye Red hapo naomba ushahidi please !
kumbe hujaelewa hata mtoa mada anachomaanisha irudie isome vizuri paragraph ya chini ya picha halafu angalia hio picha kwa makini huyo mzungu ambae hajavaa uniform anaitwa tim cook ndio ceo wa apple na hao jamaa waliovaa uniform ndio mainjinia/wafanyakazi wa apple na hizo hapo mbele ndio computer zinazotumika kutengeneza mac, ziangalie kwa makini hizo computer zinatumia os gan?
Kama ulizungumzia swala hilo kupitia explaination na hiyo picha ya mleta mada ! Basi sawa !
Nami mleta mada nilimwelewa vizuri tu ! Thats why nikamwambia turudi nyuma kidogo !
Wafanyakazi wa Microsoft nao wanatumia apple products !
Back then sawa nimekuelewa !
Apple use windows OS !
Microsoft use apple Products !
Tatizo sio wafanyakazi wa Apple au Microsoft kutumia product za wenzao, kichekesho hapa ni kuwa production ya product za Apple zinategemea Windows.
Pia Microsoft wanatengeneza Apps kwa ajili ya iPad hilo linaweza kuexplain kwanini kulikuwa na iPads ofisini.
yani hii ni mistake of the year hapo alipo anajuta na kama kuna mtu alioajiriwa kwa ajili ya kutweet ameshafukuzwa kazi.
Turudi nyuma mbona wafanyakazi wa Microsoft wanatumia Apple products !
Kuna uwezekano hata windows ilitengenezwa kupitia platform ya IBM.
So mkubwa mkubwa tu!