Monseur
JF-Expert Member
- Dec 5, 2016
- 655
- 525
Mimi ni mfanyabiashara ninayetimiza vigezo na masharti yote ya urndeshaji ikiwemo kulipa kodi nakadhalika! Adui mkubwa wa biashara yangu ni Bwana afya!
I) Akifika ANADAI Clearance certificate ya TRA
II) Anadai leseni ya biashara
iii) Anadai risiti za Kulipia Hotel Levy
Then anakagua usafi, vyeti vya afya nk
Je hayo yote ni majukumu yao au ni namna tu ya kudai rushwa? Maana wamekuwa ni Kero kubwa kwa wajasiriamali mali