Mabusu na kupapaswa tu analidhika

Mabusu na kupapaswa tu analidhika

mwanahabari93

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
263
Reaction score
170
Kuna mwanamke nimekuwa nae katika mahusiano ya kimapenzi takribani miezi mitatu ila hataki kufanya mapenzi anadai yeye ni bikra na kuwa hayuko tayari kabisa kishiriki hilo tendo na anadai kuwa haoni sababu ya kugegedwa kama tu mabusu na kupapaswa anarizika nimemwambia kila mtu afate mambo yake maana nimeshindwa kuvumilia.

Vipi hapo niko sawa au nimekosea.?
 
Tafuta mchepuko, kwan kuwa na mademu zaidi ya mmoja ni kosa kisheria?????

Tafuta mtoto mzuri, mwenye chura, macho mazuri gegeda... alafu huyu anaejiita bikra usimuache ila mpotezee tu
 
Us

Usimwache mkuu wezako wanataftaga awapati ikiwezekana muoe kabsa
 
Kuna mwanamke nimekuwa nae katika mahusiano ya kimapenzi takribani miezi mitatu ila hataki kufanya mapenzi anadai yeye ni bikra na kuwa hayuko tayari kabisa kishiriki hilo tendo na anadai kuwa haoni sababu ya kugegedwa kama tu mabusu na kupapaswa anarizika nimemwambia kila mtu afate mambo yake maana nimeshindwa kuvumilia.

Vipi hapo niko sawa au nimekosea.?
kisaikolojia hakuna mwanamke ambaye unaweza kumbusu na kumpapasa mwili wake siko zote hizo bila kumgegeda.tatizo liko kwako huna maujuzi ktk kumalizia
 
Kuna mwanamke nimekuwa nae katika mahusiano ya kimapenzi takribani miezi mitatu ila hataki kufanya mapenzi anadai yeye ni bikra na kuwa hayuko tayari kabisa kishiriki hilo tendo na anadai kuwa haoni sababu ya kugegedwa kama tu mabusu na kupapaswa anarizika nimemwambia kila mtu afate mambo yake maana nimeshindwa kuvumilia.

Vipi hapo niko sawa au nimekosea.?
Umekosea sana.
 
Tafuta mchepuko, kwan kuwa na mademu zaidi ya mmoja ni kosa kisheria?????

Tafuta mtoto mzuri, mwenye chura, macho mazuri gegeda... alafu huyu anaejiita bikra usimuache ila mpotezee tu
Mzee huu ndio ukauzuu wenyewe sasa... mtafute mwenyekiti wa chama tawala akupe uanachama na ukatibu kabisa.

Cc Asprin ....
 
Back
Top Bottom