Maboresho ya JF - 2019

Maxence Melo naomba fanyia mabadiliko ya hiyo (thanks icon) itoe na rudisha ile (like). alafu weka button mtumiaji awe na uwezo wa kuchagua atumie lite version au hii new version ambayo kwa sasa wenye simu za nokia ukiifungua JF unakutana na ujumbe huu:- Javasript is enable for a better experience
 
Mimi kilio changu tupunguzie nyuzi ambazo zimejaa viewers kuliko replies na likes.....
 
Naomba mrekebishe kwenye notifications

Mimi Nina karibu wiki tatu sipati notifications


Halafu naomba kuwe na option ya ku-delete threads
 
Aisee swala langu la notifications

Nimewatumia meseji kimya we ulinijibu ukapotelea hewani nikaandika na thread kuhusu hii issue n penyewe kimya hakuna moderator aliyejibu

Hii ni dharau kwa sisi wateja wenu !

Kwa nini mnafanya hivyo

Au sisi ndo tuna uhitaji mkubwa na jf is that what you mean ?
 
Huu ni mwezi sasa sipati notification

Bora mnijibu kama shida ni simu yangu au ni nini lakini mpo kimya

Aisee nimekasirika sana kwa hili sio fair kabisa
 
Naomba mrekebishe kwenye notifications

Mimi Nina karibu wiki tatu sipati notifications


Halafu naomba kuwe na option ya ku-delete threads
Leo ndo nimeinuka kweny huu usingizi hata mie sipati notification kumbe kuna mabadiliko mweeh
 
Toka nitoe hii post sijawahi kupata notification tena zinaonekana za mwaka 2019
 
Nashauri
  1. Hapa kitumike Kiswahili kote kuwawezesha wasiojua Kiingereza waelewe
  2. Liwepo eneo maalumu kwaajili ya Kiingereza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…