Maboresho ya huduma baada ya ziara za Mh Rais Magufuli ktk Ofisi,Taasisi za umma na binafsi!!

MLAU

JF-Expert Member
Aug 23, 2007
4,726
3,358
Wana bodi!

Nimejaribu kuomba yoyote anayefahamu mabadiliko ya Huduma ktk Ofisi na Taasisi zote ambazo Mh Dr Magufuli alipofanya ziara za kushtukiza Mara tu alipoingia madarakani.

Mh Rais alitembelea Wizara ya Fedha,Muhimbili Hospital Mara mbili, Benki Kuu,Bandari ya Dar es salaam,Ofisi za magazeti ya Uhuru na Mzalendo na Redio Uhuru.Gerezani la Ukonga,Mgahawa wa mama mmoja pale airport Mwanza,Uwanja wa Ndege Wa Kimataifa Dar es salaam.n.k

Kwa wanaopata huduma ktk maeneo hayo tunaomba mrejesho baada ya ziara ya Rais Magufuli na maagizo aliyoyatoa ktk ofisi na Taasisi hizo.

Maana tumeona kimya yawezekana hali ni nzuri na bora zaidi tofauti na ilivyokuwa baada ya maagizo yake kutekelezwa.
 
Eneo Ambalo Huduma Zimeboreshwa Kwasasa Ikulu Dar/Chamwino Dodoma
 
Huduma zimeboreshwa sana, ndio maana hata njia za wabeba unga zimebadirika kutoka Dar kwenda Kigali!
 
Back
Top Bottom