MWAKATA KWETU
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 562
- 319
Ndugu wanajamvi,
Kuna bodaboda amekufa baada ya kugonga mti maeneo ya Masabo picnic centre ambao ulikatwa jana ukaangukia barabarani ,hivyo bodaboda na wakazi wa mtaa huo wameandamana kulaani uzembe wa usalama barabarani kutowawajibisha wahusika ambao waliukata mti na kuuacha barabarani bila kuweka alama inayoonesha ama kutahadharisha mbele kuna emergence.
Marehemu amefahamika kwa jina la Samweli na mwili bado uko mochwari katika hospitali ya mji Kahama.