we mbipi..kwa taarifa yako na wengine shamba la singa lilopo shangarai ni la waziri mkuu aliyejiuzulu Bw Edward Ngoyai Lowass..we mpemba magamba huna ishu
Wacha watu wakajigie maeneo yao. Juzi walivamia shamba la doly mpaka mama wa kizungu akaomba asiuawe, kwani yupo tayari wagawane ekari tatu tatu, na yeye akagawiwa ekari tatu.
mkuu Mungi ktk harakati hii,kwenye ardhi iliyotumiwa vema kiuchumi kama mashamba ya maua sitaunga mkono lakini kwa case ya Doly Estate nipo tayari kupambana mstari wa mbele ardhi irudi kwa wananchi!i like the move!