Kama koku kimya basi hao ni wavuvi haramu - wanasubiri samaki walio kufa kwa mlipuko wa mabom waelee juu ya maji ili wavuvi waweze kuwaopoa kirahisi. Jamaa hawa ni wajinga sana - Dynamite fishing uharibu mazalio ya samaki pamoja coral reefs, wahusika wanapaswa kutiwa mbaroni na kuhukumiwa kufungwa maisha.