Wananchi wakiji-organise usiku huu, tunaweza ongea mengine.Natamani ningefungiwa naye humo ndani
Wamelaaniwa wote wanaodhulum. Uzuri ni kuwa Raia wameshaichoka ccm.Mabomu ya machozi yanarindima wakati huu jimbo La Iramba Magharibi mkoani Singida ambapo Mgombea ubunge jimbo hilo kupitia CHADEMA Bi Jesca Kishoa inasemekana amekamatwa na kufungiwa ofisi za msimamizi wa uchaguzi...
Yaani Mwigulu na madevu yake anaogopa pingamizi la mwanamke? Hawa ccm vichwa vimejaa maji au?
Ungeanza tu ww mkuu kutoa mfano kama yule mwarab wa Tunisia muuza mchicha alivyo jitoa muhanga kwa faida ya watunisia wote, alafu sisi tupo nyuma yako kamanda..Wananchi wakiji-organise usiku huu, tunaweza ongea mengine.
Usiku, ili iweje? Mengine ya kujitakiaWananchi wakiji-organise usiku huu, tunaweza ongea mengine.
Hakuna tatizo!!! Nchi ukombolewa na waliojitoa kweliEndeleeni tu kuelewana, mi naingia kulala na mchepuko wangu. Asubuhi tutawaletea chai hospitali kama si kituo cha polisi. Kazi njema
Chadema uzeni sera jamani na sio vurugu.
Au vurugu ndio sera yenu.
Endeleeni tu kuelewana, mi naingia kulala na mchepuko wangu. Asubuhi tutawaletea chai hospitali kama si kituo cha polisi. Kazi njema
Hakuna tatizo!!! Nchi ukombolewa na waliojitoa kweli
Masikini wanawaza ngono tu !