vijana amkeni, huyu lowasa na chadema muogopeni mno, kavuruga ccm sasa ana mradi wa kuvuruga Tanzania yetu kwa hisani ya uchu wa madaraka ya ukawa. vyombo vya dola msisimbembeleze kama walivyokuwa wanambembeleza ccm, amani na utulivu wa nchi at any cost for the public interest.