Ni kweli mkuu nimeyaona. Kama unataka kuyaona yamekusanywa mbele ya mbagala kama unaelekea vikindu yapo upande wa kulia kabla hujakata kona kuelekea toangoma. Hiyo sehemu ilikuwa ni bonde la mpunga. Naona wamezungushia bendera za kijani hilo eneo hilo na watanzania kibao wamejaa kuomba kazi