Mabishano ya kidini ni ujinga na kipimo cha uelewa mdogo

Ok fine, Biblia ni neno la Mungu... Quran je? Ni neno la wanadamu wa kawaida au Maandiko yote mawili ni ya Mungu?...inawezekanaje andiko moja liwe la Mungu kwa maoni na mtazamo wako tu? ....Vipi upande wa pili unaweza kunipa uthibitisho wa Quran kama ni andiko la Mungu au sio la Mungu? Niamini kwamba Biblia ndio yenye usahihi zaidi....
 
Ok fine, Biblia ni neno la Mungu... Quran je?
Mungu kwa asili yake hajipingi so kwa sababu Quran inaipinga Biblia na kwa utafiti wangu Biblia inabeba mark zote za Neno la Mungu then Quran haiwezi kuwa Neno la Mungu.
Ni neno la wanadamu wa kawaida au Maandiko yote mawili ni ya Mungu?
Jibu hilo hapo juu.!
...inawezekanaje andiko moja liwe la Mungu kwa maoni na mtazamo wako tu?
Ukiandika barua kwa mchumba wako halafu zikawepo barua nyingine ambazo hukuandika wewe halafu mtu akauliza swali kama hili unamjibu nini?
....Vipi upande wa pili unaweza kunipa uthibitisho wa Quran kama ni andiko la Mungu au sio la Mungu? Niamini kwamba Biblia ndio yenye usahihi zaidi....
Biblia ni Neno la Mungu. Kila kinachopingana nayo hakiwezi kuwa Neno la Mungu kwa sababu Mungu hajipingi.

Kuhusu ushahidi nadhani umesahau acha nikukumbushe. Ninasubiri utafiti wako kwanza...!
 
Hapa na wewe unajibu swali kwa kuuliza swali? Nipe kwanza huo unaosema utafiti wako ukiwa kwenye written document ili ni amini kweli Biblia tu ndio neno la Mungu...huwezi tumia biblia kuitafiti Biblia! Tumia uthibitisho mwingine kuthibitisha Biblia...Yani ni ni sawa nikupe mfano polisi aue afu tena yaye ajichunguze...!!
 
Unajaribu kuwa mjanja sio? Uliyeanza kusema una utafiti uliokufikisha kwenye hitimisho kuwa hakuna Mungu na Biblia ni maandishi ya watu tu ni wewe. Nikakudai ushahidi wa huo utafiti ukaanza kurusha mpira kwangu. He that alleges have the burden to prove. Sasa kwa ujanja ujanja unataka kugeuza swali? Won't work here!

Nimekuwa najadili sana hili suala na kuna nyuzi kibao JF na kama nilivyosema sitaona shida kujadili tena. Ila kwanza onyesha utafiti. La sivyo ukiri kwamba ulikuwa ni utapeli wa maneno na kuwa hujafanya utafiti wowote. Ulitumia kama mbinu ya kutufunga midomo. Else onyesha utafiti kwanza ndio uwe na moral grounds za kunihoji.

Kumbuka siku zote "He that alleges has the burden of proof"
 
Nadhani hapa mada ingefungwa tu maana umemaliza kila kitu
 
Let's agree to disagree... usifosi mawazo yako yakubalike na kila mtu na mimi siku aminishi ukubali mawazo yangu..ila nakwambia hivi God is beyond our concept of imagination and thinking...
 
Let's agree to disagree... usifosi mawazo yako yakubalike na kila mtu na mimi siku aminishi ukubali mawazo yangu..ila nakwambia hivi God is beyond our concept of imagination and thinking...
No! Let's agree kuwa hakuna utafiti ulioufanya na kuwa mawazo yako ni mawazo tu yasiyokuwa backed na any research au evidence. Maana ndicho ulichoonesha.

Usijifichie kwenye uhuni wa kukubaliana kutokubaliana. Huu ni uhuni wa kimantiki!
 
No! Let's agree kuwa hakuna utafiti ulioufanya na kuwa mawazo yako ni mawazo tu yasiyokuwa backed na any research au evidence. Maana ndicho ulichoonesha.

Usijifichie kwenye uhuni wa kukubaliana kutokubaliana. Huu ni uhuni wa kimantiki!
Na wewe usilazimishe mawazo yako niyaone ni utafiti na researchs.... bado vinabaki mawazo na mtazamo wako pia...haya unayo dai ni researchs na evidence ni za kwako tu...
 
Ni kweli kabisa mkuu..Dini na Imani zetu hazitaki zihojiwe na ukijaribu kufanya hivyo inaonekana unapingana na dini au imani hiyo.. Faith prevents reasonable thinking...hili ni tatizo sana
Nani kakuzuia kuhoji dini? Unajitengenezea tatizo wewe mwenyewe
 
Hata kwenye Biblia Mafundisho yako Hivo hivo
 
Huu mjadala unaoendelea unaonyesha kichwa cha habari cha huu uzi kiko sahihi kabisa.
 
Huu mjadala unaoendelea unaonyesha kichwa cha habari cha huu uzi kiko sahihi kabisa.
Umeona mkuu...Hapa kila mtu anajaribu kutetea upande wa dini yake ili ashinde.waafrika tuna kasumba ya "Udini"wa hali ya juu.
 
Mkuu ulienda vzr na hoja yk lkn mwishon umeharibu Kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…