Wasalaam wana MMU, huwa nachungulia tu hili jukwaa ila leo nmepata uvuvio wa roho mtakatifu kutiririka yangu machache.
Mosi ni hii tabia yenu mabinti wengi kupenda penda tu hovyo hovyo msipopendwa. Hili suala nmeliona mara kadhaa kwa hawa mabinti zetu kupoteza muda wao mwingi kwa watu wasio malengo na mapenzi ya dhati kwao, wanadanganyika kwa vitu vidogo vidogo mno mpaka mtu unashangaa hawa viumbe sijui wanatumia viungo gani kufikiri.
Mfano utakuta binti graduate mzima anadanganyika na anajua anadanganywa kabisa na mtu ambaye hana future naye kabisa anajua ni mume wa mtu au wamepangwa wanawake idadi kadhaa youtong mbili zinaweza kujaa wanadanganywa na wanaliwa kiurahisi mno wakati wapo husband materials wamejaa tele kitaani na wapo tayari kuwaoeni lakini mabinti hawaeleweki.
Pili mmekuwa mnachagua chagua mno na kuweka vigezo vingi mnapotafuta wenzi, huku msisitizo wenu mkubwa ni kwa wenye ukwasi, magari na mwonekano mzuri, huku suala la upendo wa dhati likiwekwa kando, mwisho wa siku kwa hizo tabia zenu za kuchagua chagua mno mnaishia kuwa michepuko ya watu na kuangukia jumba bovu.
USHAURI;
Mama zetu, shangazi zetu na dada zetu nawashaurini wadogo zetu wayape thamani maisha yao kwa kujitunza, kujiheshimu, kutokukurupa kujiingiza katika mahusiano mabovu, kuwa na hofu ya Mungu na kutokudanganyika na vitu badala yake wawekeze upendo wa dhati na kutokuwapotezea wenye upendo wa dhati na nyie.
BTW ni ushauri tu just take it or ignore it.