Mabinti wenye pua ndefu

tayta unaniua na hizo pichaaa wallah lolllll mmeona yangu puaa weee
 
Last edited by a moderator:
tayta unaniua na hizo pichaaa wallah lolllll mmeona yangu puaa weee

usijali mway kuna mirija. Ila mnanipaga shida sana. sasa nikikutana na mwenye mafua ndio inakulaga kwangu bigtyme.
 
wewe iko Lena? Ulisia visuri taelesewa namna ya kufanya,:A S cry:
 
Mimi natofautiana na akina Mukamasimba,Koba kwenye jukwaa la kimataifa ila kwenye suala la urembo wa dada zao sitofautiani nao kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…