Mangi Moshi
Member
- Jun 21, 2011
- 22
- 11
Samahani Shoshte Si wote wanaoenda clubin ni ma Changu .. wengi sana wamekutana na wenza Wao clubbing na kumbi nyingi za strareheWame oa/olewa na familia sasa...Hujui utakutana na uliyepangiwa wapi..Si wote wanakutana ofisini hata kwenye daladala...uliposema club ndo umeua mazima huyo sio dem ni changuuuuuuuuuuuu
Kimsingi club hawaendi machangu tu kama unavyosema. Kuna wasichana wengi ambao wapo single na wanapenda kwenda kupata burudani weekend kama sehemu ya mapunziko na ku-refresh akili baada ya pilika za wiki nzima. Unless alinidanganya kuhusu CV yake, otherwise alionekana kuwa msomi wa elimu ya juu na alinifahamisha kuwa anafanya kazi sehemu fulani nzuri tu hapa Mjini. Na hiyo CV ndo iliyonifanya nirudi kwake tena bada ya kukutana club.uliposema club ndo umeua mazima huyo sio dem ni changuuuuuuuuuuuu
Kimsingi club hawaendi machangu tu kama unavyosema. Kuna wasichana wengi ambao wapo single na wanapenda kwenda kupata burudani weekend kama sehemu ya mapunziko na ku-refresh akili baada ya pilika za wiki nzima. Unless alinidanganya kuhusu CV yake, otherwise alionekana kuwa msomi wa elimu ya juu na alinifahamisha kuwa anafanya kazi sehemu fulani nzuri tu hapa Mjini. Na hiyo CV ndo iliyonifanya nirudi kwake tena bada ya kukutana club.
Samahani Shoshte Si wote wanaoenda clubin ni ma Changu .. wengi sana wamekutana na wenza Wao clubbing na kumbi nyingi za strareheWame oa/olewa na familia sasa...Hujui utakutana na uliyepangiwa wapi..Si wote wanakutana ofisini hata kwenye daladala...
Ila siku hizi mabinti ni balaa ni mizinga tu wanapiga,kuna tulikutana ktk mazingira ya kawaida tu alinibip na 50000,akaniambia kuna ishu anaifix then atairudisha nkausoma mchezo nkajua hapa ntaishia kupigwa mabusu na kukumbatiwa ,nkamwambi pesa ninayo ila niko very budgeted now days ,akasema its ok,nlipompigia baadaye either to solve in otherway round,akaniambia NIMKOME.i told her nilishamkoma ndo maana sikumpa !
Ina maana wanaoenda club ni machangu tu? Mi sometimes huwa naenda club na mpenzi wangu - ina maana naye ni changu? Ebu sahihisha msemo wako.uliposema club ndo umeua mazima huyo sio dem ni changuuuuuuuuuuuu
Tuko pamojaJamani kahaba/malaya/mapepe/etc haijalishi yuko wapi. kuna watu wapo ofisini ni hoooovyooooo na wengine wapo makanisani ni hooovyooooooo balaa na viouni ndo usiseme. mke au mume anapatikana popote wanapokutana watu
Hivi majuzi kati nilikutana na binti mmoja club fulani hapa jijini. Tukachati hapa na pale, then tukapeana contacts za simu. Nikakaa siku kama tatu hivi, nikam-text, badala ya kujibu akaanza kunibip. Nikampigia simu, tukazungumza kidogo ikiwa ni pamoja na kuweka mihadi ya kukutana jioni ya siku hiyo. Wakati tunafikia mwisho wa mazungumzo msichana akaniambia naomba unitumie vocha ya 10,000/=. Nikamwambia sawa, kimsingi sikumtumia, akaanza kubip, akabip kama mara 3 hivi, baada ya kama saa moja hivi akatuma sms kwamba bado anaisubiria hiyo vocha. Sasa cha kujiuliza hapa ni kwamba hivi hawa wasichana wanaotanguliza njaa hata kabla ya kufahamiana vizuri ni sahihi kweli? Je hiyo si kumfukuza mpendwa mtarajiwa? Hawaoni kwamba hiyo inaonyesha hali ya ngono ya biashara tangu mwanzo ambayo kwa mtu mstaarabu haitamvutia?Nawasilisha.
Kama angekuwa anafanya kazi asingekuwa na njaa ya elfu 10,angekuja kuhitaji msaada wa kifedha lakini baada ya kuwa mmejuana kwa muda!! Conclusion: Huyo ni Malaya na ukiibuka tena hapo Club mara kadhaa utagongana naye tena tu!! Unaweza uka-date naye mchana na Usiku akaenda kuuza kama kawa,Be Careful!!!Kimsingi club hawaendi machangu tu kama unavyosema. Kuna wasichana wengi ambao wapo single na wanapenda kwenda kupata burudani weekend kama sehemu ya mapunziko na ku-refresh akili baada ya pilika za wiki nzima. Unless alinidanganya kuhusu CV yake, otherwise alionekana kuwa msomi wa elimu ya juu na alinifahamisha kuwa anafanya kazi sehemu fulani nzuri tu hapa Mjini. Na hiyo CV ndo iliyonifanya nirudi kwake tena bada ya kukutana club.
?Kimsingi club hawaendi machangu tu kama unavyosema. Kuna wasichana wengi ambao wapo single na wanapenda kwenda kupata burudani weekend kama sehemu ya mapunziko na ku-refresh akili baada ya pilika za wiki nzima. Unless alinidanganya kuhusu CV yake, otherwise alionekana kuwa msomi wa elimu ya juu na alinifahamisha kuwa anafanya kazi sehemu fulani nzuri tu hapa Mjini. Na hiyo CV ndo iliyonifanya nirudi kwake tena bada ya kukutana club.