Mabinti waajabu sana

Mabinti waajabu sana

Hahahahahhahahah.....jamaa unachekesha sana,wanawake huwa wana mtu kwa ajili yakutoa matunzo,kuuza nae sura na anayempenda...sasa wewe upo kundi la kwanza
 
hahaaaaaaaa nimecheka yawezekana hana mtu ila anajaribu nae kukusoma unaweza kumuhudumia
 
Hilo kawaida hapa duniani lazima kuna wanaoliwa na wanaokula - sasa wewe lisha
 
Eheheheh watu wengine bana.... chunwa mpaka bas ,Maaana Hanna namna nyingine
 
Anakuomba kama rafiki yake wa kawaida tu. Na kwa kuwa alishakuambia ana mtu na ukaonesha ukaribu bado, kwa hiyo anakuona rafiki mzuri.
 
watu kama nyie nasikiaga wadada wanawaita mazombi...zamani kidogo msamiati ulikuwa "mshika pembe"
by the way mrembo wetu yupo form ngapi kwani?..
 
Khaa, kwani kakulazimisha si umetoa mwenyewe kwa ridhaa yako kama vp mwambie huna
 
hapa ndipo wanawake wengne wanapojiingiza kwny mambo ya ajabu...sasa hapa akiambiwa njoo hoteli fulani uchukue atasema "who do you thing I am" na matusi ya kila aina juu..hutaki acha..ndugu, mtolee live tu asizoee hii tabia ya ajabu
 
Mkuu huyo mbona tayari kaelekea kibla ww mwambie afate iyo hela geto then akija maliza na muambie aende utamtumia tigo pesa akitoa tu miguu futa namba kama una smartphone unatia block ata sms zake haziingii

safi kaka hiyo nimeidaka vizuri
 
hata siku moja ukiingia atm ukaanza kuitongoza haitakujibu sanasan itakuambia ingiza kadi yako
 
Back
Top Bottom