Mabinti waajabu sana

Mabinti waajabu sana

khetewesa

Senior Member
Joined
Jul 30, 2012
Posts
112
Reaction score
25
Habari wanajamii MMU,

Imetokea kuna binti namuapproach anazingua na anadai anamtu wake, basi huwa sina tendency yakukomaa sana zaidi tu naendelea kuwasiliana naye kawaida tu huku nikimsoma ni mtu wa aina gani, sasa mala ya kwanza nimewahi mpa zawadi kabla sijamtamkia chochote, nikazawadi kakawaida sana alifurahi na akapenda sana.

Si mwombaji wa hela but naona huwa anatamani aniombe ila anakosa mwanya, uvivu umemtoka kunasiku akaniomba baada ya miezi kadhaa kwenda, nikamtumia hata bila kuhoji akashukuru sana, sikuwa namaneno mengu nikajibu poa na hapo pia mimi sikuhangaika kumtafuta tena ila tunatafutana mala mojamoja sana.

Leo kaenda anaenda shule ananiambia nimwongezee hela ya matumizi na nikama wiki mbili zimekata toka aniombe hela. sasa mimi swali najiuliza, huyu nilivomwambia habari yamahusiano anadai anamtu at the some time ananipiga vizinga, mimi ananipiga vizinga kama nani kwake? Mimi nikamate manyoya nyama wale wengine?
 
Sasa wewe si ATM - unashangaa nini? Na hapo utakuta huyo jamaa yake anapewa vitu free halafu wewe ATM unagharimia; mjini hapa!!!!!
 
Anakupiga miziga kama zoba ili akazile na mjanja wake! Muache binti asome tongoza watu wazima.

sina haraka naye nilikuwa namwandalia mazingira ya badaye. ndo maana nikasema nilikuwa namsoma ni mtu wa aina gani
 
Mpe mtoto pesa ya matumizi, huyo hupaswi kutongoza tena, kama ni mjanja piga counter attack, utakula mzigo
 
Sasa wewe si ATM - unashangaa nini? Na hapo utakuta huyo jamaa yake anapewa vitu free halafu wewe ATM unagharimia; mjini hapa!!!!!

imekula kwake, mizinga inapanguliwa...napenda kwakreason+hisia ila sio hisia tupu....
 
hivi kugegeda mwanafunz ni jela miaka mingap?!
 
Ameona Kwako Anapata Kwa Urahisi Zaidi, Bila Ya Yy Kuwa Na Risk Ya Uhusiano Na Ww......Ukiamua Mpe Ukifanya Kma Unatoa Sadaka.....Ukiona Aifai, Mwambie Auna!!!!!
 
Mkuu huyo mbona tayari kaelekea kibla ww mwambie afate iyo hela geto then akija maliza na muambie aende utamtumia tigo pesa akitoa tu miguu futa namba kama una smartphone unatia block ata sms zake haziingii
 
wajinga ndo waliwao...jiongeze kijana huyo afai tongozwa tena...mtafutie mwanya upige mzigo
 
If you gotta go for somebody's Chick, just go all out brother, or cut your losses like a Man.


 
Last edited by a moderator:
Achana nae!! Alishakwambia ana mtu wake we unaendelea kumsoma wanini?? unapoteza mda tafuta mwengine asiye na mtu msomane........
 
Surprisingly kakupa na account take ya benki..we unatia shekeli tu......aiseeee yani ni aiseeeeeee
 
Back
Top Bottom