Mabinti wa siku hizi!


Kwa nini akupe mzigo, umetoa wapi hiyo haki? Kapeleke posa, huwezi mwache mtoto wa watu usimpotezee muda.
 
Haya mapenzi ya siku hizi , sijui watu wote wangekuwa wanafanya hivyo tungefika wapi.
 
Hujamgusa vizuri ndiyo maana anaruka ruka.
 

subiri siku ya sherehe za kuapishwa Rais Lowassa...
siku hiyo kwa furaha binti atakupa mwenyewe.
 
Yaaani binti anakupa mpaka kiss unashindwa kumshuhurikia.. Ukisubiri akuambie twende leo nikakupe.. Utasubiri mpk Yesu anapaa tena mawinguni. Onyesha mautundu.. Kweny kiss hapo ndio pakupenyea mkuu achaa uzobaaaa..

hahahahaaa mkuu unatishaaaa
 
Huwa najiuliza endapo mdogo wangu ndo anapost ujinga kama huu humu. Sijui nitamfanyaje.

Hahahah bora mdogo wako kua anapost

Kuliko mdogo wako ndo anaombwa hiyo kitu

Na jamaa anakomaa mpaka kutafuta ushauri wako hapa
 
Uzi wako mzuuri ila umeandika habari yooote mstari mmoja.Halafu sisi ni wa mataifa mbalimbali usiandike neno demu au 2po au xaxa.Nisamehe mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…