Ndege wafananao. . .
Labda kama umezoea kuwapiga mabaamedi maana ndo wachafu sana hao,,,,,,Na ww kwani lazima umuinamishe mwenzio, hapo alifanya makusudi kukuonyesha uchafu maana hapendi hiyo style yakuinamishwa mwenzio, ulikuwa unataka 0713 ndo maana ukamuinamisha na amekukomesha ili usifikirie hata kubip

Hili ni somo muhimu katika kuimarisha mahusiano kati ya Mume na Mke au baina ya marafiki. Usafi ni muhimu sana kwa pande zote yaani mwanamume na Mwanamke,ila kutokana na maumbile usafi ni muhimu zaidi kwa jinsi ya kike. Nalazimika kuandika maneno haya ili kusaidia kuimarisha mahusiano, jamani uchafu kwa mwanamke ni balaaa, waweza hata kuvunja ndoa yako kwa sababu hii. Ashakumu si matusi, sehemu za siri zinatakiwa zisafishwe mara kwa mara hususani baada ya haja ndogo. Vile vile ukienda haja kubwa jitahidi kujisafisha kwa maji na sabuni sehemu ya nyuma. Jamani kuna siku nikiwa na rafiki wangu wa kike nikaomba staili ya kuinama (sio 0655), ha ha haaaaaa nilichokipata huko ni dhahama, hadi hisia zikakatika papo hapo. Na kwa kuwa hakubadilika sikuona haja ya kuendelea naye ingawa nilimpenda.
Ushauri wangu wa bure pale ambapo maji yanapatikana basi fanyeni usafi wa kutosha maana wanaume wengi wahapendi mweza mchafu. Na wale mnaopenda kutumia tishu baada ya haja ndogo au kubwa mwelewe kuwa huo sio usafi, tumia maji nawa kwa sabuni utakuwa nadhifu.
Aisee waombe msamaha hao watu. Ni wasafi sana labda bar za kuuzia pombe za kienyeji. Wanawazidi mademu wengi wanaojiahaua mjini humu!