Mabinti wa kitanga

jem the great

Member
Joined
May 25, 2013
Posts
44
Reaction score
11
Jaman hv n kwel mabnt wa tanga hawapend kufanya kaz...zaid ya mambo ya chumban 2...????
 
Ni nani yule aliimba kuhusu mabinti wa Kitanga? Anasema "mabinti wa Kitanga ooh, wanapenda kujipamba .... kwa mapenzi utatia nanga.... Hebu mkuu tafuta hiyo CD utapata sifa za mabinti wa Kitanga.
 
rejea mabinti wa kitanga by Bwana misosi

ulivyoambiwa kuna kibao cha karibu cha kwaheri hamna
unadhani walimaanisha nini.........,
 

ilikuaga mahaba ingawa nawdays kila
kabila lipo juu kwenye secta hiyo,na kuhusu kazi
kuna kaukweli,hua si watu wa kujituma kwny kutafuta
kama akina manka na wengineo,barazaaaniiii ndio zao!!
 
Ngoja tumsubiri Fidel80 akipita hapa atatueleza tu.
 
dah kilugha tena ngoja nami nimpm jamaa yangu wa kibololoni na mbokomu tuanze kuongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…